JUMAPILI YA BARAKA
WAKATI WA IBADA, INJILI NA KUBARIKIWA
Karibu katika kipindi cha Jumapili ya Baraka kupitia Angaza FM Radio – Sauti ya Jamii!
Kila Jumapili wakati wa adhuhuri, tunakukaribisha kufurahia nyimbo za injili, mafundisho ya Biblia, maombi, ushuhuda na ujumbe wa kutia moyo.
Ni wakati wa kumkaribia Mungu, kuimarisha imani na kupata faraja kupitia Neno lake.
YALIYOMO KATIKA KIPINDI
-
Nyimbo za sifa na kuabudu.
-
Mafundisho ya Neno la Mungu.
-
Maombi na maombezi.
-
Ushuhuda wa matendo makuu ya Mungu.
-
Ujumbe wa matumaini na faraja.
-
Mazungumzo ya kiroho.
KIPINDI: JUMAPILI YA BARAKA
MTANGAZAJI: Brian Kiprop Cheminingwa
ANGAZA FM RADIO – SAUTI YA JAMII
Injili, Imani na Matumaini kwa Kila Mtu.
No Comments Yet...